Education is not the acquisition of degrees. It is the broadening of one's mind. It is the process of undertaking and imparting true knowledge. It is the awakening of one's consciousness towards the Universe withing us and the Universe around us.
Ukiwaza kitu kwa dakika moja na sekunde nane β huu ni utafiti wangu tu β hicho kitu kitaanza kujiumba kwa ajili yako sehemu fulani ulimwenguni. Ukiamini kwa kiasi cha kutosha kwamba umekipata, utakipata. Haijalishi kama una elimu au huna. Hiyo ndiyo siri kubwa zaidi ya utajiri kuliko zote duniani β MAWAZO YAKO.